Jumatano, 13 Desemba 2017

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA KUTANGAZWA WASHINDI UCHAGUZI WA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA-2017.


 MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa, Jerry Slaa akitangaza matokeo ya Uchaguzi wa Umoja wa Wazazi Taifa huko katika ukumbi wa JK Dodoma.
 BAADHI ya wagombea wa nafasi mbali mbali za Umoja wa Wazazi CCM ngazi ya Taifa wakisikiliza matokeo yanayotangwazwa katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja huo.
 Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Wazazi Tanzania Dkt. Edimund Benard Mndolwa akienda meza kuu baada ya kutangazwa kushinda nafasi ya Mwenyekiti katika uchaguzi huo. 
 BAADI ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania wakishangilia washindi mbali mbali waliotangazwa kupitia uchaguzi huo.

 MWENYEKITI mpya wa Umoja wa Wazazi Tanzania  Dkt. Edimund Benard Mndolwa (kushoto) akipongezwa na Mwenyekiti mstaafu wa Umoja huo Abdalla Bulembo katika Mkutano Mkuu huo.

 MAKAMU Mwenyekiti  wa Umoja wa Wazazi Tanzania Haidar Haji Abdallah (aliyesimama kushoto) MWENYEKITI wa Umoja wa Wazazi Tanzania Dkt. Edimund Benard Mndolwa (kushoto) akipongezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) baada ya kutangazwa matokeo hayo.
 MWENYEKITI wa Umoja wa Wazazi Tanzania Dkt. Edimund Benard Mndolwa(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi(katikati) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Jerry Slaa(kulia) wakibadilishana mawazo baada ya kutangazwa washindi kupitia uchaguzi huo.
 MWENYEKITI wa Umoja wa Wazazi Taifa akiwa na viongozi mbali mbali wa Chama pamoja na Mwenyekiti mstaafu wa Umoja huo Abdalla Bulembo.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni