Alhamisi, 21 Desemba 2017

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA NEC, IKULU YA CHAMWINO DODOMA

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Katibu Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana wakati alipokuwa akiwasili katika eneo la Mkutano na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC uliofanyika mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC  katika eneo la Mkutano mjini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana.

 Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kuwasili katika eneo la mkutano wa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC uliofanyika mjini Dodoma.


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC mjini Dodoma. Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein aliyeketi pamoja na Katibu Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana.

  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC mjini Dodoma.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC mjini Dodoma

 Wajumbe mbalimbali wa NEC wakizungumza katika mkutano huo uliofanyika mjini Dodoma.




 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasikiliza wajumbe mbalimbali wa NEC walipokuwa wakijitambulisha katika mkutano huo wa NEC mjini Dodoma.

 Wajumbe mbali mbali wa NEC wakisalimiana
CHANZO: CCM BLOG

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni