Jumapili, 13 Septemba 2015

Matokeo mbali mbali katika picha ya UZINDUZI wa Kampeni za CCM- Zanzibar

Hawa ni baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa kiwa wanatafuta sehemu ya kukaa 

Baadhi ya wanachama kutoka kabila la kimasai wakiwa wamefika katika mkutano wa Uzinduzi

Wanachama wa CCM wanaonekana wakiwa na furaha hapo katika Uwanja wa Kibandamaiti

Nderemo, Viogelele na Shangwe!!!wanja wa Kibandamaiti

Nderemo, Viogelele na Shangwe!!!wanja wa Kibandamaiti

Nderemo, Viogelele na Shangwe!!!wanja wa Kibandamaiti akiwemo Mgombe wa tiketi ya Ubunge
kupitia CCM, Ndg KING wa Jimbo la Jang'ombe

Nderemo, Viogelele na Shangwe!!!wanja wa Kibandamaiti

Diamond akiwa anatumbuiza hapo kibandamaiti katika ufunguzi wa kampeni za CCM Zanzibar

Diamond akiwa anatumbuiza hapo kibandamaiti katika ufunguzi wa kampeni za CCM Zanzibar

Dr. Gharib Bilal akizungumza na wanchama wa CCM

Hawa ni baadhi tu ya waliohudhuria katika Uzinduzi

Rais Mstafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume akizungumza na wananchi katika mkutano wa Uzinduzi wa Kamapeni za CCM hapo kibanda maiti
Diamond akinogesha Uzinduzi wa Kampeni

Add caption
Diamond!!! akizidi kuonesha umahiri wake kwa wanachama wa CCM


Diamond!!! akizidi kuonesha umahiri wake kwa wanachama wa CCM

Diamond!!! akizidi kuonesha umahiri wake kwa wanachama wa CCM

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Vuai Ali Vuai akizungumza na hadhara ya wanaCCM hapo Kibandamasti

Mhe. Balozi Seif Ali Idd akitilia mkazo kwa wanachama wa CCM kuwa wakichague chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mnamo 25 /10/2015

Katibu Mkuu wa CCM Mhe. Abdulrahman KINANA akizungumza na wanaCCM 

Mhe. Ali Hassan Mwinyi nae pia alikuwepo katika Uzinduzi kama inavyoonekana akiwasalimia wazanzibari 

Rais msatafu wa Jamhuri ya watu wa TANZANIA Mhe. Benjamin W. Mkapa akzingumza na Wazanzibar 

Baadhi ya wanachama waCCM wakionekana kuwa na Fuiraha 

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri wa Watu wa TANZANIA, Jakaya M. Kikwete akizungumza ana wanachama wa Chama cha Mapinduzi

Dr.Ali Mohamed Shein akipokea ILANI ya CCM kutoka kwa nmwenyekiti wa CCM ili aweze kuinadi ilani hiyo kupitia mikutano mbalimbali

Dr. SHEIN akiionesha ILANI kwa wanachama aliofika hapo katika Mklutano wa Uzinduzi wa kampeni za CCM

Dr. SHEIN akizungumza na wanachama wa CCM hapo kibanda maiti

Mhe. Jakaya M. Kikwete na Dr, Ali Mohamed Shein wakionekana wakiwa na furaha