Jumamosi, 12 Septemba 2015

Dk. Shein akutana na wanafunzi wa shirikisho la Vyuo vya Elimu ya juu

Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein alikutana na wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu. Hapo Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. Leo mnamo 12/09/2015


Mhe. Dkt. Shein akionekana akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa chama Kitaifa mara tu baada ya kuwasili hapo katika Afisi Kuu za Chama kwa ajili ya kuzungumza na wanafunzi wa Vyuo  vya Elimu ya Juu
Wanafunzi wa vyuo wakimpokea Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein. Wakionekana wakiimba na kucheka nyimbo za Chama 

Wanafuzi wakimpokea Dkt. Shein kwa shangwe na Vigelegele pindi tu alipowasili ndani ya ukumbi kwa ajili ya kupata nasaha zake


Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili ndani ya Ukumbi wa CCM kwa ajili ya kuongea na wanafunzi wa shirikisho la vyuo 

Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili ndani ya Ukumbi wa CCM kwa ajili ya kuongea na wanafunzi wa shirikisho la vyuo 

Mhe. Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanafunzi hao.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni