Alhamisi, 14 Februari 2019

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN WILAYA YA MAGHARIB 'B' TAREHE 14/02/2019.

 RAIS wa Zanzibar Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiweka Jiwe la Msingi katika Skuli ya Kisasa ya Kwarara Zanzibar katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Magharibi 'B' iliyofanyika leo Tarehe 14/02/2019. 

  RAIS wa Zanzibar Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipewa maelezo juu ya maendeleo ya ujenzi wa Skuli ya Kwarara.

  RAIS wa Zanzibar Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  muonekano wa baadhi ya majengo ya Skuli ya kwa Kwarara iliyowekwa Jiwe la Msingi leo.

 BAADHI ya Wananchi na Wanafunzi wakiwa katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli ya msingi Kwarara.



 WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Juma Pembe akizungumza katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Kwarara skuli.


 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi (kulia) na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwema Shein (kushoto) wakiwa katika hafla hiyo.

 BAADHI ya Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Skuli ya Kwarara.,

  RAIS wa Zanzibar Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Magharibi B mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika Skuli ya Msingi Kwarara.


  RAIS wa Zanzibar Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiweka Jiwe la msingi Kituo cha Afya cha Pangawe Magirisi.

  RAIS wa Zanzibar Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua vyumba vya Jengo la Kituo hicho.



 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Zanzibar Mhe.Haji Omar Kheir akizungumza katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Kituo hicho.


  RAIS wa Zanzibar Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi Kituo cha Afya Magirisi.





  RAIS wa Zanzibar Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wanachama na Viongozi wa CCM wa Wilaya ya Dimani Kichama.

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akieleza mikakati ya CCM kuelekea 2020 katika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

 KATIBU wa CCM Wilaya ya Dimani Ndugu Yussuf akisoma taarifa ya Chama Cha Mapinduzi katika Wilaya hiyo mbele ya  Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein aliyekutana na Wanachama na viongozi wa CCM Wilaya hiyo.

 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Dimani Ndugu Hussein Ali 'Kimti' akizungumza Katika Hafla hiyo.

 MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Magharibi ndugu Mohamed Rajab akitoa salamu za Chama Mkoa wa Magharibi Unguja.  


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni