Jumamosi, 16 Februari 2019

MATUKIO KATIKA PICHA HAFLA YA CCM ZANZIBAR KUWAPA ZAWADI WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2018 WALIOFAULU DARAJA LA I,II.

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi akiwahutubia  katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi Waliofaulu Kiwango cha Daraja la I,II wa Kidato cha Nne mwaka 2018.

 KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar Mwl.Kombo Hassan Juma, akizungumza katika hafla hiyo ya kuwapongeza Wanafunzi hao.

 MKUU wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa salamu za Mkoa na kuwapongeza wanafunzi hao.

 MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Kaskazini Mhe.Angelina Adam Malembeka akito nasaha na kuwatia nguvu wanafunzi hao waendelee kusoma kwa bidii ili wafikie malengo yao kitaaluma.

 Katibu Msaidizi wa CCM Afisi Kuu Zanzibar Ndugu Khamis Salum Abdi akitoa maelezo mbali mbali kuhusu hafla hiyo.

 BAADHI ya Viongozi mbali mbali wa CCM wakiwa katika hafla hiyo.
  
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi(kulia) akimpongeza na kumpatia zawadi Mwanafunzi aliyepata ufaulu wa daraja la kwanza Zanzibar kwa upande wa wanafunzi wa kiume ndugu Hassan Hamidi Ussi.





 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi wa kike aliyepata daraja la kwanza ndugu Faiza Shamim Khamis.


 
Picha ya pamoja ya NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi na viongozi mbali mbali pamoja na wanafunzi wa kike waliofaulu daraja la kwanza katika mitihani ya kitato cha Nne mwaka 2018.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni