Jumapili, 3 Februari 2019

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA CCM NA UVCCM MKOA WA MAGHARIB WAFANYA ZIARA YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.

MWENYEKITI wa UVCCM Mkoa wa Magharib  ndugu Fahmy Ali Mwinyi,Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Magharibi Bi.Msekwa Mohamed Ali, Mwenyekiti wa Chipukizi Mkoa wa Magharib ndugu Rukaya Makuba Haji na Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa Ndugu Kassim Hassan Kassim pamoja na viongozi mbali wa Mkoa huo wakikagua utekelezaji wa Ilani ya CCM Mkoa wa Magharib katika Shule mpya ya Sekondari Bububu  iliyojengwa na SMZ kwa ushirikiano na Shirika la Opec Fund Internatinal Development.

 MWENYEKITI wa UVCCM Mkoa wa Magharib  ndugu Fahmy Ali Mwinyi  akizungumza na msimamizi wa ujenzi wa Shule hiyo kutoka Kampuni ya China.

 MWENYEKITI wa UVCCM Mkoa wa Magharib  ndugu Fahmy Ali Mwinyi, akikagua madarasa yaliyojengwa katika shule hiyo.

 VIONGOZI mbali mbali wa Chama na Jumuiya ya Vijana Mkoa wa Magharib wakikagua ujenzi wa shule ya sekondari Bububu katika ziara yao.

 MSAFARA wa Viongozi wa CCM na UVCCM Mkoa wa Magharib wakikagua ujenzi wa mitaro mikubwa katika eneo linalotwaama maji la Mwanakwerekwe Sokoni ambalo linajengwa na kampuni ya CVMARK LTD.

 MWENYEKITI wa UVCCM ndugu Fahmy Ali Mwinyi(kulia), Mhandisi Vicent George (anayeonekana katikati)Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa kupitia Mkoa wa Magharib Ndugu Kassim ....(kushoto) wakikagua mtaro huo wa kusarisha maji yanayotwaama katika eneo la Mwanakwerekwe.

MSAFARA wa Viongozi mbali mbali wa Chama Cha Mapinduzi na UVCCM wakikagua ujenzi wa mitaro hiyo hapo kwerekwere.

 MSAFARA wa Viongozi mbali mbali wa Chama Cha Mapinduzi na UVCCM wakiwa katika eneo la Kibonde Mzungu kunapojengwa Daraja kubwa la kisasa ili kuondosha changamoto ya kutwaama kwa maji wakati wa kipindi cha mvua, ujenzi huo ni moja ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2015/2020.

 MAFUNDI wa Kampuni ya MECCO wakiwa katika harakati za ujenz wa daraja la Kibonde Mzungu.

 MSAFARA wa Viongozi mbali mbali wa Chama Cha Mapinduzi na UVCCM wakiwa ndani ya mtaro wa daraja la kibonde mzungu wakikagua ujenzi huo.




 MUONEKANO wa Jengo la shule ya kisasa ya Fuoni  iliyojengwa na SMZ kwa kushirikiana na shirika la OPEC FUND INTERNATION DEVELOPMENT .

  MJUMBE wa Baraza Kuu UVCCM  Kassim Hassan Kassim (kushoto),Mwenyekiti  wa UVCCM ndugu Fahmy Ali Mwinyi wakikagua maabala ya shule ya sekondari fuoni inayojengwa na kampuni ya kutoka China.

 MUONEKANO wa Shule mpya ya sekondari inayongwa Fuoni Unguja ambayo ni miongoni mwa shule za kisasa zinazojengwa nchini ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2015/2020.

 MSAFARA wa Viongozi mbali mbali wa Chama Cha Mapinduzi na UVCCM wakikagua daraja la Mwera Gudini.

 MJUMBE wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa Ndugu Kassim Hassan Kassim akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya ziara.

 KATIBU wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Magharib Ndugu Msekwa mohamed Ali akizungumzia namna ya Mkoa huo ulivyojipanga katika kuafdhimisha miaka 42 ya kuzaliwa kwa CCM.

 VIONGOZI mbali mbali wa UVCCM na CCM Mkoa wa Magharib walioshiriki katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ndani ya Mkoa huo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe ya kuzaliwa kwa CCM inayotimiza miaka 42 toka kuasisiwa kwake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni