Jumanne, 12 Februari 2019

MATUKIO KATIKA PICHA MAJUMUISHO YA ZIARA YA RAIS WA Z'BAR DK.ALI MOHAMED SHEIN WILAYA YA MJINI.


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi mbali mbali wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi katika majumuisho ya ziara yake iliyofanyika leo Wilaya ya Mjini alipokagua miradi mbali mbali ya maendeleo, majumuisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa ZSSF Kariakoo Unguja.


 MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharib Zanzibar Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud akizungumza katika majumuisho hayo.

 MKUU wa Wilaya ya Mjini Zanzibar Mhe, Marina Joel akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Serikali katika Wilaya hiyo.

 VIONGOZI mbali mbali wa Serikali walioudhuria katika Majumuisho hayo ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

 BAADHI ya Viongozi mbali mbali wa Chama Cha Mapinduzi wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Wenyeviti wa Wilaya na Mikoa, Manaibu Makatibu Wakuu wa Jumuiya za CCM walioudhuria katika majumuisho hayo.

 WAKUU wa Vikosi vya Idara Maalum za SMZ walioudhuria katika Majumuisho hayo.

 VIONGOZI mbali mbali wakiwa katika majumuisho ya ziara.



PICHA NA KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO CCM AFISI KUU Z'BAR.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni