Ijumaa, 12 Januari 2018

MATUKIO KATIKA PICHA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZILIZOFANYIKA LEO JANUARI 12, 2018.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akiwapungia mkono wananchi mbalimbali ikiwa ishara ya kuwasalimia  mara alipowasili katika kilele cha  Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akitoa hotuba ya  Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi Aman mjini Unguja.
 BAADHI ya wananchi wakifurahi na kusherehekea katika hafla hiyo.

 VIJANA wa Chama cha Mapinduzi wakiwa na Picha za waasisi wa Mapindizi yaliyoongozwa na Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Januari 12,1964.

 MACOMRADE wa Young Pawneer  wa Zamani wakipita mbele ya Rais kwa mwendo wa ukakamavu 
 VIJANA wa kikundi cha sarakasi wakionyesha uwezo wao mbele ya Rais.

 KIKUNDI cha ngoma za utamaduni wakipita mbele ya Rais.


 VIONGOZI mbali mbali wa SMT na SMZ walioshiriki katika kilele cha sherehe za kutimiza miaka 54 ya Mapinduzi wakifuatilia matukio mbali mbali yanayoendelea katika sherehe hizo
 BAADHI ya watumishi wa SMZ wakifuatilia sherehe hizo. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi mkono katika SHEREHE hizo

 BAADHI ya viongozi mbali mbali wa  Kitaifa wa SMZ, SMT pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Saadalla Mabodi akiwakilisha  Chama cha Mapinduzi.

 WANANCHI walioudhuria Sherehe hizo.

MAKAMU wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idd akitoa salamu za wananchi na kumkaribisha mgeni rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein awahutubie wananchi hao.
 BAADHI ya viongozi mbali mbali wa Chama, Serikali na Jumuiya za CCM.BAADHI ya Mabalozi kutoka nchi mbali mbali walioudhuria sherehe hizo.


 BADHI ya viongozi wa SMT,SMT pamoja na wawakilishi wa Vyama vya Siasa nchini.

 BAADHI ya viongozi wa Dini pamoja na Maafisa mbali mbali kutoka SMZ na Chama cha Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika sherehe hizo.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni