Jumapili, 7 Januari 2018

VIJANA TUTUNZENI MAADILI YETU


Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mjini  Ndg. Hudhaima Mbarouk Tahir amewataka  Vijana kutunza  maadili kwani kufanya kutapelekea kuwaepusha  kufanyiwa matendo mabaya. Ameayasema hayo wakati alipokuwa akizugumza na Vijana Tanznia Youth Icon (TAYI)hapo Mwembe Madema Zanzibar.

MATUKIO KATIKA PICHA YA ZIARA YA MWENYEKITI WAUVCCM KATIKA AFISI ZA TAYI













Hakuna maoni:

Chapisha Maoni