Jumatatu, 8 Januari 2018

MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA KITUO CHA AFYA UKONGORONI UNGUJA


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Kituo cha Afya Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya waalikwa pamoja na wananchi waliohudhuria katika Ufunguzi wa Kituo cha Afya Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman wa kwanza kushoto akipata maelezo kutoka kwa Afisa uendeshaji Timu ya Afya Halmashauri Wilaya ya Kati Salma Bakari Mohammed wakati akitembelea kituo cha Afya baada ya kukifungua Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Naibu katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Maulid Salum akitoa maelezo kuhusiana na Kituo cha Afya cha Ukongoroni pamoja na kuahidi kutatua baadhi ya changamoto zilizopo baada ya kufunguliwa kituo hicho  Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni