Jumapili, 7 Januari 2018

MATUKIO KATIKA PICHA RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AKIZINDUA MRADI WA UMEME KTK KISIWA CHA FUNDO PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Mazingira Zanzibar Mhe. Salama Aboud Talib katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Pemba.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na viongozi  wakuu wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira na viongozi wa Chama na Serikali wakielekea katika uzinduzi wa mradi huo.

 BAADHI vijana wa kisiwa cha Fundo wakisherehekea ujio wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Kijiji hicho kwa ajili ya kuzindua rasmi mradi wa Umeme.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizindua Mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Kilichopo Pemba.

UJUMBE maalum wa  Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) unaosisitiza uhifadhi wa nishati ya Umeme  katika eneo linalozinduliwa mradi huo katika kisiwa cha Fundo Pemba.(PICHA NA IKULU ZANZIBAR).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni