Ijumaa, 19 Januari 2018

DK.MABODI APOKEA UJUMBE WA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA

Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadalla akipokea ujumbe wa wageni kutoka China ambao uliofika katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kwa lengo la kudhuru Kaburi la muasisi wa Mapinduzi  ya Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume liliopo hapo Afisi Kuu CCM Kiswandui.

Ujumbe huo uliofika leo kutoka Dar es Salam kwa leongo la kutafuta maeno kwa ajili ya uwekezaji katika sekta mbali mbali hapa Zanzibar.








Hakuna maoni:

Chapisha Maoni