Jumatatu, 5 Februari 2018

VIJANA HAKIKISHENI MNAFANYA USAFI KATIKA VITUO VYA HUDUMA ZA JAMII- DK. MABODI

Fanyeni Usafi katika Vituo vya huduma za jamii kila mwezi mara moja. Kauli hiyo imesemwa na Dk. Mabodi wakati akishirikiana na Vijana wa Umoja wa Vijana Kaskazini Pemba kwenye Hospitali ya Wete

Vijana wa UVCCM wakimsubiria Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dk. Mabodi ilikuja kungana nae katika shughuli za Ufanyaji Usafi hapo katika Hospital ya Wete

Vifijo na nderemo zilikiwa zimeshamiri mara tu baada ya kuwasili Dk. Mabodi 

Dk. Mabodi akisalimiana na Ndugu Mberwa ambae ni Mwenyekiti wa Mkoa kaskazini Pemba

Dk. Mabodi akibadilishana mawazo na Ndugu Bakar Ali Bakari ambae ni Afisa mdhamini wa Wizara ya Afya Pemba

Dk. Mabodi akifanya usafi pembezoni mwa kuta za Hospitali ya Wete

Dk. Mabodi akifanya usafi pembezoni mwa kuta za Hospitali ya Wete

Dk. Mabodi akifanya usafi pembezoni mwa  Hospitali ya Wete

Dk. Mabodi akifanya usafi pembezoni mwa Hospitali ya Wete







Dk. Mabodi akizungumza na Mmoja kati ya Matabibu wa Hospitali ya Wete 


Dk. Mabodi akiosha mikono yake mara tu baada ya kumaliza kufanya usafi


Dk. Mabodi akifuatana na Baadhi ya Viongozi wa chama Kaskazini kuelekea katika wodi ya watoto kw alengo la
 kuwafariji watoto hao ambao wamezaliwa leo hii  tarehe 5-2-2018 







Dk. Mabodi akifuatana na Baadhi ya Viongozi wa chama Kaskazini kuelekea katika wodi ya watoto
ambao wamelazwa katika Hospitali ya Wete

Dk. Mabodi akimkabidhi zawadi mtoto ambae amelazwa katika Hospitali ya Wete

Dk. Mabodi akizungumza na Viongozi mbali  mbali waliofika katika Hospitali ya Wete kwa lengo la kushirikiana nae

Dk. Mabodi akifuatana na Baadhi ya Viongozi wa chama Kaskazini kuelekea katika wodi ya wazee wa kiume
ambao wamelazwa katika Hospitali ya Wete

Dk. Mabodi akisaini katika kitabu cha Wageni katika Hospitali ya Wete

Dk. Mabodi akiondoka katika Hospitali ya Wete mara tu baada ya kumaliza kazi iliokusudiwa
kufanywa katika hospitali hiyo 

Dk. Mabodi akiondoka katika Hospitali ya Wete na kuelekea katika Ukumbi wa Jamhuri hapo wete kwa lengo la kuzungumza na Vijana wa UVCCM kutoka kaskazini

Vijana wa UVCCM wakimkaribisha Dk. Mabodi mara tu baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Jamhuri hapo Wete

Ndugu Mberwa ambae ni Mwenyekiti Mkoa kaskazini Pemba akatoa maneno machache kisha amkaribishe
Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar aweze kuzungumza na Vijana walifika hapo 

Dk. Mabodi akizungumza na Vijana wa UVCCM kaskazini Pemba

Dk. Mabodi akitikia Dua mara tu baada ya kumaliza kikao cha leo na Vijana wa UVCCM ktuoka Kaskazini 

Dk. Mabodi akiangana na Mwenyekiti wa Wilaya Kaskazini Pemba

Dk. Mabodi akizunguza na Ndugu Maua Abeid Daftar ambae kwasasa ni mshauri wa Rais katika mambo ya siasa Pemba

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni