Alhamisi, 8 Februari 2018

DK.MABODI AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUKAGUA MIRADI YA TASAF KISIWANI PEMBA.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na mwalimu mkuu wa skuli ya Maandalizi Junguni, Nusura Hamad iliyojengwa na Tasaf, wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.

 
 NAIBU katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akiangalia moja ya vitabu wanavyosoma wanafunzi wa skuli ya Maandalizi Junguni, iliyojengwa na mfuko wa maendeleo ya Jamii Tanzania (Tasaf), wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba
  NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Mabodi, akiangalia moja ya karatasi za kusomeshea wanafunzi katika skuli ya maandalizi Junguni Wilaya ya Wete, iliyojengwa na mfuko wa maendeleo ya jamii Tanzania (Tasaf), wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.

  NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk.AbdUlla Juma Mabodi, akiangalia moja ya fanicha zilizowekwa na mfuko wa maendeleo ya jamii Tanzania (TASAF) katika skuli ya Maandalizi ya Junguni, wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.

  NAIBU katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi, akizungumza na watengenezaji wa Mazulia ya Usumba katika kikundi cha Jiendeleze kwa maisha bora kilichopo Junguni Wilaya ya Micheweni, wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.

 NAIBU Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na wananchi na wanachama wa kikundi cha Jiendeleze kwa maisha bora kinachojishuhulisha na utengenezaji wa mazulia ya Usumba, huko Wingwi Njuguni Wilaya ya Micheweni mkoa wa wa kaskazini Pemba, wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.

 MKURUGENZI wa Idara ya Uratibu shuhuli za Serikali kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Khalid Bakari Amran akitoa ufafanuzi juu ya mipango mbali mbali ya Tasaf kwa mwaka 2018, kwa wananchi wa junguni Wilaya ya Micheweni wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni