Jumamosi, 3 Februari 2018

" ANZISHENI JUMUIYA YA PAMOJA YA WAKULIMA WA MPUNGA " DK. MABODI

Walengwa wa TASAF watakiwa kuanzisha Jumuiya ya pamoja ya walima mpunga iliwafikie malengo, Kauli hiyo imesemwa na Dk. Mabodi wakati akifanya Ziara katika Miradi mbali mbali ya TASAF iliyochini ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ameyasema Leo hii Dk. Mabodi wakati  alipotembelea  wakuliwa wa kilimo cha Umwagiliaji maji huko katika Bonde la  Cheju na Jendele.

































Hakuna maoni:

Chapisha Maoni