Ijumaa, 2 Februari 2018

MATUKIO KATIKA PICHA YA DK. MABODI AKITEMBELEA MIRADI YA TASAF WILAYA YA KASKAZINI ''A'' UNGUJA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar ameanza ziara yake ya kukagua miradi ya TASAF Unguja. na amertembelea Shehia za  Donge Mnyimbi, Donge Vijibweni, Muwange, Chuini na Kizimbani.

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla 'Mabodi' akiwasili katika Shehia ya Mnyimbi kwa ajili ya kukagua miradi mbali mbali ya TASAF inayotekelezwa mwaka 2017/2018.

BAAHI ya Akina Mama wa vikundi vya upandaji wa miti katika Shehia ya Mnyimbi.

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akipokea taarifa juu ya vikundi vya ujasiria mali vinavyoratibiwa na Mradi wa TASAF.
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla akizungumza na baadhi ya vikundi na kaya maskini zinazosaidiwa na TASAF.


 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla 'Mabodi' akiwa katika kituo cha Afya cha Kijibweni.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla 'Mabodi' akiwa katika kituo cha Afya cha Kijibweni. NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla 'Mabodi' akikagua kitaru cha miti.
Hakuna maoni:

Chapisha Maoni