Jumamosi, 18 Agosti 2018

MATUKIO KATIKA PICHA MKUTANO WA KATIBU MKUU NA VIJANA WA CCM ZANZIBAR.

KATIBU Mkuu wa CCM Tanzania Dk.Bashiru Ally (kushoto) akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Ndugu Abdallah Haji Haidar mara baada ya kuwasili Amani Mkoa kwa ajili ya kuzungumza na Vijana mbalimbali wa CCM.

KATIBU Mkuu wa CCM Tanzania Dk.Bashiru Ally(kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mohamed Rajab Soud (kulia) mara baada ya kuwasili Amani Mkoa kwa ajili ya kuzungumza na Vijana mbalimbali wa CCM.

 KATIBU Mkuu wa CCM Tanzania Dk.Bashiru Ally(kushoto) akisalimiana na Mjumbe wa kamati Maalum ya NEC CCM Taifa Ndugu Abdulghafari Idrissa(kulia) mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa ccm kwa ajili ya mkutano.  

 KATIBU Mkuu wa CCM Tanzania Dk.Bashiru Ally (kushoto) akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndugu Thuwayba Kisasi (kulia),  mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa ccm kwa ajili ya Mkutano wa CCM Mkoa wa Mjini Amani Unguja. 

 KATIBU Mkuu wa CCM Tanzania Dk.Bashiru Ally akisaini kitabu cha wageni.
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla (Mabodi) akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Dk.Bashiru azungumze na vijana hao.


 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Taifa Tabia Maulid Mwita akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu Dk.Mabodi ili amkaribishe mgeni rasmi ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Dk.Bashiru katika mkutano huo.

 MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Magharib Ndugu Mohamed Rajab Soud akitoa neno la shukrani kwa Katibu Mkuu huyo.

 BAADHI ya vijana wa UVCCM kutoka makundi mbali mbali walioudhuria mkutano huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni