Jumatano, 8 Novemba 2017

Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar, Bi. Waride Bakari Jabu amefanya ziara ya kuimarisha Chama kwa kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za CCM ngazi za Matawi hadi Majimbo huko Tunguu, Paje na Makunduchu Mkoa wa Kusini Unguja Kichama.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni