Jumatano, 17 Juni 2020

MWINYI : ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR

Kada wa chama cha Mapinduzi Mbwana Yahya Mwinyi amejitokeza leo kuchukua fomu  ya kuomba kupitishwa na chama cha Mapinduzi kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni