Alhamisi, 18 Juni 2020

MOHAMED JAFFAR JUMANNE

Baada ya kuondoka Nahodha katika ofisi Kuu za  CCM Kisiwandui hapo muda si mrefu alijitokeza kada mwingine majira ya saa tano Mohamed Jaffar Jumanne kuchukua fomu ya kuomba kupewa ridhaa na chama  kugombea nafasi hiyo ya urais.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi  hizo za CCM alisema yeye ni miongoni mwa wanachama wenye nia ya kugombea nafasi hiyo na kwamba amejitokeza kuchukua fomu hizo.

"Kama nilivyosema nimekuja kuchukua fomu napenda kuwashukuru waandishi wa habari mlioapa siku ya leo hii lakini sina cha kusema siku ya leo naomba niombe radhi nisikaribishe maswali mniruhusu niende," alisema kada huyo






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni