Jumapili, 31 Machi 2019

MMATUKIO KATIKA PICHA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MAGHARIB AFUNGUA MAFUNZO ELEKEZI YA JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA AMANI.


 MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Magharib Ndugu Mohamed Rajab Soud akizungumza na Viongozi na Watendaji wa Jumuiya ya Wazazi wa Ngazi za Matawi hadi Wilaya katika uzinduzi wa Mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo Viongozi hao.
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya  CCM Taifa Ndugu Sufiani Khamis akizungumza katika ufunguzi wa Mafunzo Elekezi kwa viongozi na Watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Mjini.

 MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Magharib Ndugu Mohamed Rajab Soud akitoa vitendea kazi kwa viongozi hao vikiwemo Kanuzi za Jumuiya ya wazazi,Ilani ya CCM na Katiba ya CCM pamoja na miongozo mbali mbali  ya Jumuiya hiyo.Hakuna maoni:

Chapisha Maoni