Jumapili, 31 Machi 2019

MATUKIO KATIKA PICHA KAMPENI YA 'AMSHA AMSHA' UVCCM JIMBO LA MWANAKWEREKWE TAREHE 31/03/2019.

 MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Tabia Maulid Mwita akizungumza na Vijana wa Jimbo la Mwanakwerekwe mara baada ya kuhitimisha kampeni ya AMSHA AMSHA katika maeneo mbali mbali ndani ya Jimbo hilo.

 KATIBU wa CCM  Jimbo la Mwanakwerekwe Ramadhan Fatawi Issa akizungumza na Vijana wa UVCCM wa Jimbo hilo.


 MJUMBE wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Wazazi Zahor Saleh akizungumza na vijana hao huko Tawi la CCM Mwanakwerekwe 'B'.


  MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Tabia Maulid Mwita akiwatunuku cheti kwa vKatibu wa UVCCM wa Jimbo la Mwanakwerekwe Ali Vuai Abdalla 'Ali Mbunge' akiwa ni mjumbe wa kamati ya maandalizi ya kampeni hiyo.


  MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Tabia Maulid Mwita akitoa Cheti kwa Katibu wa Hamasa wa UVCCM Jimbo la Mwanakwerekwe.


  MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Tabia Maulid Mwita Pamoja na vijana na viongozi mbali mbali wa CCM na jumuiya zake katika kampeni ya AMSHA AMSHA.

 VIJANA wa UVCCM wa Jimbo la Mwanakwerekwe wakipandisha bendera ya CCM katika Tawi la CCM Magogoni Kidatu.


 VIJANA wa UVCCM wa Jimbo la Mwanakwerekwe wakitoa zawadi kwa Mzee Adnani ikiwa ni sehemu ya kuwasaidia Wazee na Waasisi wa Chama Cha Mapinduzi. VIJANA wapya wa Darasa la Itikadi katika Jimbo la Mwanakwerekwe wakisikiliza kwa makini nasaha za viongozi mbali mbali wa UVCCM MKURUGENZI wa Baraza la Manispaa ya Magharib ‘B’ ndugu Ali Abdallah Said Natepe akizungumza mbele ya Vijana wa UVCCM mara baada ya kukamilisha zoezi la Usafi wa mazingira katika soko la Mwanakwerekwe.


 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ased Nyonje akizungumza mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo.

 MJUMBE wa Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Magharibi Ndugu Kassim Hassan Haji 

 MSHIRIKI wa zoezi la Usafi katika soko la Mwanakwerekwe kutoka UVCCM Ndugu Jamila Hamza 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni