Jumatatu, 22 Aprili 2019

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZNZ DK.ABDULLA JUMA MABODI KATIKA JIMBO LA MAKUNDUCHI UNGUJA.

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kibuteni alipoenda kwa ajili ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika Jimbo la Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.

 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Abdulaziz Haji akizungumza katika ziara hiyo ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar  Dk.Abdulla Juma Mabodi katika Jimbo la Makunduchi.

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akikabidhiwa zawadi ya Madafu na Wananchi wa Kijiji cha Kibuteni Makunduchi. 

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi  amebeba mtoto mara baada ya kuzungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kibuteni alipoenda kukagua Uwanja wa Mpira wa miguu wa  kisasa unaojengwa katika Kijiji hicho.

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akiwa akiimba na kucheza jimbo mbali mbali za CCM pamoja na Vijana wa UVCCM wa kikundi maalum cha Hamasa katika ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Makunduchi.
  
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akikagua ukarabati wa ujenzi katika Ofisi ya CCM Jimbo la Makunduchi.  

 

 WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Jimbo la Makunduchi wakizungumzia mafanikio mbali mbali yaliyofikiwa katika masuala mbali mbali ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimboni humo.

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akimkabidhi fedha kiongozi wa Kikundi cha Saccos ya Shehia ya Mzuri iliyopo Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.
  
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akikabidhi Runinga(Television) kwa Uongozi wa Maskani ya CCM ya Kisonge iliyopo katika Jimbo la Makunduchi.  
 MWAKILISHI wa Jimbo la Makunduchi Mhe.Haroun Ali Suleiman akielezea Utekelezaji wa Ilani ya CCM ndani ya Jimbo hilo.


 MBUNGE wa Jimbo la Makunduchi Mhe. Ameir Haji Timbe akizungumza na Wananchi wa Jiimbo la Makunduchi katika ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Mabodi.
 
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akiwa amebeba ndoo yenye udongo katika ujenzi wa Tawi la CCM Miwaleni Jimbo la Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.

 MWAKILISHI wa Jimbo la Makunduchi Mhe.Haroun Ali Suleiman akisomba udongo wa kifusi wa kuweka katika Tawi la CCM la Miwaleni katika ziara ya kukukagua uhai wa Chama na Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika Jimbo hilo Wilaya ya Kusini Unguja.

 MKUU wa Wilaya ya Kusini Unguja Idrisa Mustafa Kitwana (aliyebeba kifaa cha kubebea udongo wa kifusi wa pili kushoto) akishiriki ujenzi wa Taifa katika Tawi la CCM Miwaleni Makunduchi.  
 
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akizindua Maskani ya CCM ya Hapa Kazi Tu iliyopo Mtende Mndo Makunduchi.
 
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akikagua ujenzi wa Tawi la CCM Mtende Mndo Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.  

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akikabidhi Runinga kwa Uongozi wa Maskani ya CCM ya Mtende Mndo Makunduchi.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni