Alhamisi, 10 Januari 2019

MATUKIO KATIKA PICHA A-Z KILELE CHA UFUNGAJI WA MATEMBEZI UVCCM GOMBANI PEMBA.

 MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akihutubia katika hafla ya Kilele cha ufungaji wa Matembezi ya UVCCM ya kuenzi miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 MATEMBEZI ya UVCCM Pemba 

 VIJANA wa UVCCM wakiwa na Picha mbali mbali wa wakiwa katika matembezi ya UVCCM mwaka 2019.

 VIONGOZI wa Meza Kuu wakionyesha dhamira ya dhati ya mshikamano.


 VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika Uwanja wa Gombani katika Ufungaji wa Matembezi

 VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika Uwanja wa Gombani katika Ufungaji wa Matembezi

 NAIBU Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Ndugu Mussa Haji Mussa akisoma taarifa ya Matembezi 

MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Tabia Maulid Mwita akizungumza katika hafla hiyo ya kilele cha Matembezi.

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla akitoa salamu za Chama Cha Mapinduzi katika kilele cha Matembezi hayo.

 MWENYEKITI wa UVCCM Taifa Kheir James akizungumza katika Matembezi hayo.

 MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif akizungumza katika matembezi hayo.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni