Alhamisi, 10 Januari 2019

MATUKIO KATIKA PICHA KILELE CHA MATEMBEZI YA UVCCM PEMBA TAREHE 10/01/2019.

BAADHI ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM) wakiwa katika hafla ya kilele cha matembezi ya kuyaenzi Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar  huko katika Uwanja wa Gombani ya Kale Pemba.

VIJANA hao zaidi ya 400 kutoka Mikoa mbali mbali ya Tanzania wakiwa katika Uwanja wa Gombani ya Kale.

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla akiiingia uwanjani katika kilele cha ufungaji wa matembezi ya UVCCM Gombani Pemba.

  NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Saadalla akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Yasmin Halloo.


Viongozi mbali mbali wa UVCCM Zanzibar wakiwa katika harakati mbali mbali za kilele cha matembezi


 MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Tabia Maulid Mwita akiwa katika ubora wake  katika kilele hicho cha Matembezi ya UVCCM.

Endelea kufuatilia moja kwa moja mitandao yetu ya kijamii katika accounts za Chama Bora, www.afisikuuznz.blogspot.com.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni