Jumamosi, 19 Januari 2019

MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KAMATI NDOGO NDOGO ZA UWT Z'BAR TAREHE 19/01/2019.


 NAIBU Katibu Mkuu wa UWT Zanzibar Ndugu Tunu Juma Kondo akitoa ufafanuzi wa majukumu mbali mbali ya Kamati hizo ambazo ni nne zilizozinduliwa kutokana na Matakwa ya Kanuni ya Umoja huo.

 BAADHI ya Wajumbe wa Kamati ndogo ndogo za UWT wakifuatilia kwa makini maelekezombalimbali yanayotolewa na Viongozi wa UWT wa Afisi Kuu ya Umoja huo Zanzibar.



KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar ambaye pia ni Mjumbe wa  Kamati zilizozinduliwa Ndugu Catherine Peter Nao akizungumzia akichangia mada juu ya uimarishaji wa Kamati zilizozinduliwa na UWT kwa lengo la kuongeza ufanisi wa Kiutendaji wa Umoja huo. 
 WAJUMBE wa Kamati Ndogo ndogo za UWT wakisoma Dua mara baada ya kukamilisha hafla ya uzinduzi wa Kamati za Nne za Kiutendaji za mwaka 2019-2020. 

 WAJUMBE wa Kamati Nne za UWT Zanzibar zilizozinduliwa leo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar wakiwa katika Picha ya Pamoja mara baada ya uzinduzi wa Kamati hizo.(PICHA NA IS-HAKA OMAR)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni