Jumapili, 6 Januari 2019

MATUKIO KATIKA PICHA MATEMBEZI YA UVCCM PEMBA TAREHE 06/04/2019.

 NAIBU Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar ndugu Mussa Haji Mussa(kushoto), Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman(anayeonekana katikati), Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Tabia Maulid Mwita wakijenga Tawi la CCM Kangani Jimbo la Mtambile Pemba.

 MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Taifa Ndugu Tabia Maulid Mwita akijenga Tawi la CCM Kangani Pemba.

VIJANA mbali mbali wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) wakifanya shughuli za ujenzi wa Tawi la CCM Kangani ikiwa ni sehemu ya kuenzi miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo kwa mwaka huu UVCCM inafanya matembezi sambamba na shughuli mbali mbali za kijamii.


 











Hakuna maoni:

Chapisha Maoni