Jumamosi, 22 Desemba 2018

MATUKIO KATIKA PICHA MAPOKEZI YA NAIBU KATIBU MKUU WAZAZI NDG.OTHMAN ALLY ALIPOWASILI ZANZIBAR.

NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Othman Ally Maulid akisalimiana na Viongozi wa Chama na Jumuiya hiyo mara baada ya kuwasili Zanzibar kwa mara ya kwanza toka alipoteuliwa.

  NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Othman Ally Maulid akiwa na Viongozi wandamizi wa Jumuiya hiyo mara baada ya mapokezi yake.

  NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Othman Ally Maulid akiwapungia mkono viongozi na watendaji wa jumuiya hiyo mara baada ya kufika katika viwanja vya Afisi Kuu ya Wazazi iliyopo Mpirani Kikwajuni Zanzibar.

 MSAFARA wa Naibu  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Othman Ally Maulid ukiwasili Kisiwandui kwa ajili ya kujitambulisha kwa viongozi, watendaji na Wanachama wa CCM na Jumuiya hiyo.


NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Othman Ally Maulid akivishwa koja na vijana wa chipukizi.NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Othman Ally Maulid akielekea katika kaburi la Mwasisi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ambaye pia alikuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar Hayati Marehemu Mzee Abeid Aman Karume. NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Othman Ally Maulid pamoja na viongozi wengine wakisoma Dua katika kaburi la Marehemu Mzee Karume. NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Othman Ally Maulid akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi mara baada ya kuwasili Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.


  NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Othman Ally Maulid pamoja na viongozi wengine wakiwapungia mkono wanachama wa CCM.

 NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Othman Ally Maulid akieleza namna atakavyotumia Katiba ya CCM na Kanuni ya Wazazi kuiongoza Jumuiya hiyo kwa ufanisi.

 BAADHI ya Wanachama wa Jumuiya ya Wazazi wakisikiliza hotuba na nasaha za mgeni rasmi katika hafla hiyo.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi akizungumza katika hafla hiyo.


 NAIBU Katibu Mkuu Mstaafu wa Jumuiya hiyo Ndugu Najma Giga akieleza namna alivyoongoza Jumuiya hiyo kwa mafanikio na kuhakikisha anaiacha katika Mikono Salama.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni