Chama cha Mapinduzi CCM mapema leo kimzidua sherehe cha kuadhimisha miaka 40 tangu kuzaliwa chama hicho kwa ufanyaji usafi katika maeneo ya soko la darajani katika Wilaya ya mjini.
Akizungumza na wanachama wa chama hicho katika hafla ya shughuli za usafi Naibu katibu Mkuu wa chama hicho Vuai Ali Vuai amesema nijambo la kujivunia kwa chama cha mapinduzi CCM kutimiza miaka 40 tokea kuzaliwa kwake ambapo hatua mbali mbali za maendeleo zimepatikana ikiwemo huduma za Afya,Elimu,huduma za maji safi na salama,pamoja na kukabiliana na suala zima la ajira kwa vijana.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni