Alhamisi, 8 Machi 2018

KATIBU WA SUKI AWAFARIJI WAASISI WA CCM ZANZIBAR

Katibu wa Idara ya SUKI Zanzibar Nd. Kombo Hassan Juma Leo hii amewatembelea waasisi wa CCM Zanzibar na kuwafariji.
 Ambapo amewaelezea kuwa Chama cha Mapinduzi kipo pamoja nao.



 MKUU wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM Zanzibar, Ndugu Kombo Hassan Juma akioneshwa picha  na Maalim Moh'd Ali mara tu Baada ya kuwasili hapo Nyumbani kwake



MKUU wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM Zanzibar, Ndugu Kombo Hassan Juma (Kulia) akiwa nyumbani ( Magomeni - Zanzibar ) kwa Ndg. Said Kassim (katikati) ambae alikuwa Mtangazaji wa idhaa ya Redio Zanzibar

MKUU wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM Zanzibar, Ndugu Kombo Hassan Juma akizungumza na Mwasisi wa CCM Bi. Johari Yussuf Akida mara tu baada ya kuwasili huko Chukwani ambako anaishi kwasasa mwasisi huyo.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni