Jumamosi, 10 Machi 2018

KATIBU WA IDARA YA UENEZI ZANZIBAR ATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI BARA

Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Zanzibar Nd. Catherine  Peter Nao  akisalimiana na Afisa Tawala wa wilaya ya Ilala ndugu Edward Mpogolo walipokutana katia kituo cha Redio cha cloud Media jijini Dar es salam picha na Emmanuel Ndege 

Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Zanzibar, Nd Catherini Peter Nao  akiteta jambo na mangazaji wa kipindi cha leo tena wa cloud baada ya kutembelea kituo hicho jana Bi cathetini Peter  Nao yupo jijini dar es saalam kwa ajali ya ziara ya kwa vyombo vya habari .picha zote na Emmanuel  Ndege.

Mhariri Mkuu wa Gazeti la Matazanaia ndugu Kulwa Karedia akimkaribisha Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Zanzibar Nd. Catherine Peter Nao wakati  alipomtembelea ofisni kwake sinza jijini Dae es ssalam 

Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Zanzibar Nd. Catherine Peter Nao akisalimia na
Nd. Hussein Bashe mara tu baada ya kufika ofisni kwake  

Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Zanzibar akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa 
Sahara Media wamiliki wa  Star TV ,na Redio Free Afrika Ofisni kwao Jijini 

Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Zanzibar akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa  sahara media wamiliki wa  Star TV ,na Redio Free Afrika ofisni kwao jijini 





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni