Jumatatu, 28 Agosti 2017

Naibu Katibu Mkuu CCMZanzibar, Dkt. Mabodi amewapongeza Mbunge, Mwakilishi pamoja na madiwani wa Jimbo la kwamtipura kwa utekelezaji wao wa ilani ya CCM kwa vitendo. Ameyasema hayo wakati alipokuwa akikabidhi gari mbili aina ya Carry katika Tawi la CCM Kwamtipura

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni