Jumamosi, 19 Agosti 2017

Dkt. SHEIN azindua rasmi Tawi la CCM M/Matarumbeta, Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Ali Mohamed SHEIN amewataka Viongozi wa Chama cha Mapinduzi kushirikiana na wanachama kwa kufanya vikao mara kwa mara katika matawi yao kwa lengo la kuleta manufaa kwa chama hicho

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni