Jumamosi, 26 Agosti 2017

Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed SHEIN akiendelea na Ziara yake asubuhi leo amezindua Rasmi uchumaji wa zao la Karafuu huko Shungi Kiziwani. Baada ya hapo Dkt. SHEIN amefanya uzinduzi wa Tawi la CCM Tibirinzi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni