Jumamosi, 13 Mei 2017

Mabodi " Awataka wanaCCM pamoja na wananchi wote kujenga utamaduni wakujitolea"


Naibu katibu Mkuu Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Sadala akishirikiana na wananchi, wanachama wa CCM na Viongozi mbali mabali wa Chama Cha Mapinduzi katika Ujenzi wa Nyumba ya Balozi wa Nyumba kumi Ndugu Asha Abdalla  huko Fuoni Migombani leo hii.


Nyumba hio ambayo ilipata maafa ya mvua kubwa ambazo zinaendelea kunyesha visiwani humu


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni