Jumanne, 6 Novemba 2018

MATUKIO KATIKA PICHA POLEPOLE AKIKABIDHI MIPIRA YA MAJI SAFI NA SALAMA KWA VIONGOZI WA CCM JIMBO LA TUNGUU Z'BAR.


 KATIBU wa NEC, Idara ya Itkadi na Uenezi  CCM Humprey Polepole akimkabidhi mipira ya kusambazia maji safi na salama Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Nd. Simai Mohamed Said kwa niaba ya wananchi wa Jimbo hilo.

  KATIBU wa NEC, Idara ya Itkadi na Uenezi  CCM Humprey Polepole akiwa pamoja na viongozi mbali mbali wa CCM ngazi za Majimbo hadi Mkoa wa Kusini.

 KATIBU wa NEC, Idara ya Itkadi na Uenezi  CCM Humprey Polepole akifukia mipira ya maji safi na Salama katika Kijiji cha Bungi Jimbo la Tunguu

 Akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja.

 KATIBU wa NEC, Idara ya Itkadi na Uenezi  CCM Humprey Polepole akisalimiana na viongozi mbali mbali wa CCM mara baada ya kuwasili Wilaya ya kati Unguja kwa ajili ya hafla ya usambazaji wa mipira ya maji safi na salama.

 KATIBU wa NEC, Idara ya Itkadi na Uenezi  CCM Humprey Polepole akiwa na viongozi wa ngazi mbali mbali za CCM Mkoa wa Kusini Unguja mara baada ya kumaliza zoezi la kufukia mipira ya kusambaza maji safi na salama.
 
 VIONGOZI wa CCM Jimbo la Tunguu akimkabidhi zawadi ya madafu  Katibu wa NEC, Idara ya Itkadi na Uenezi  CCM Humprey Polepole katika hafla ya makabidhiano ya mipira ya maji iliyofanyika katika ukumbi wa T.C uliopo Dunga Wilaya ya Kati Umguja.





 MBUNGE wa Jimbo la Tunguu Mhe. Khalifa Salim Said akizungumza katika hafla hiyo ya makabidhiano ya mipira ya maji safi na salama.

 MWAKILISHI wa Jimbo la Tunguu Mhe. Simai Mohamed  akizungumza katika hafla hiyo ya makabidhiano ya mipira ya maji safi na salama.
 BAADHI ya Viongozi wa Chama na Serikali walioudhuria katika hafla hiyo.

 BAADHI ya wanachama  na viongozi wa CCM wakimsikiliza nasaha za  Katibu huyo Polepole mara baada ya kukabidhi mipira ya kusambaza maji iliyonunuliwa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu kwa ajili ya kutatua kero za wananchi.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni