Wanafunzi wa Madrasat Swifat Nabawiyyal Karima {Msolopa} wakitumbuiza katika sherehe ya uchukuaji fomu |
Add caption |
Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi. |
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dkt. Ali MOhamed Shein akikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu. Vuai Ali Vuai kabla tayuari kwa kuchukua Fomu - Afisi Kuu ya CCM - Zanzibar. |
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akimkabidhi Fomu Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein. |
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dkt. Ali MOhamed Shein akiwa ndani ya ukumbi wa mkutano tayari kwa kuzungumza na Viongozi wa Ngazi mbali mbali za CCM Zanzibar. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni