Jumapili, 1 Desemba 2019

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM DR.BASHIRU MKOA WA MAGHARIB KICHAMA.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi,akizungumza na Wana CCM katika ziara ya Katibu Mkuu Dkt.Bashiru Ally,akivishwa Skafu na Vijana Maalum wa UVCCM Wilaya ya Dimani baada ya kuwasili katika Ofisini hiyo kwa ajili ya kuanza ziara yake katika Mkoa wa Magharibi.

VIONGOZI mbali mbali wa CCM Mkoa wa Magharibi na Wilaya zake wakisikiliza maelekezo ya Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally, wakati akizungumza katika ziara yake ya kuimarisha Chama Mkoani humo.

 MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Magharib kichama ndugu Mohamed Rajab Soud, akimkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally, kwa ajili ya ziara yake Mkoani humo.

 BAADHI ya Viongozi walioshiriki ziara hiyo wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally,wakati akizungumza na Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Magharibi.

 BAADHI ya Viongozi walioshiriki ziara hiyo wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally,wakati akizungumza na Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Magharibi.

KATIBU  Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally, akiangalia mkoba wa asili wa ukili uliotengenezwa na Wajasiriamali wa Mkoa wa Magharibi huko katika Soko la Mboga mboga la Mombasa wakati wa ziara yake.


 KATIBU  Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally akiwa na Viongozi wengine na Wajasiriamali katika Picha ya Pamoja.

 KATIBU  Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally, akikagua Jengo la Ofisi ya Tawi la CCM Fuoni Kiembeni mara baada ya kuweka Jiwe la msingi.

 WANA CCM na Viongozi mbali mbali walioudhuria katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM Fuoni Kiembeni.

 WANA CCM wa Tawi la Fuoni Kiembeni akimkabidhi zawadi ya madafu Katibu  Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally.

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla Juma Mabodi,akizungumza na Wana CCM wa Tawi la Fuoni Kiembeni mara baada ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Tawi hilo.

KATIBU  Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally,akiweka jiwe la msingi Tawi la CCM Pangawe.
KATIBU Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chipukizi Jimbo la Pangawe.KATIBU  Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally,akizungumza na Wana CCM wa Tawi la Pangawe. 
 MWENYEKITI wa Tawi la CCM Kitundu akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally,katika Tawi hilo hili  KATIBU Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally,akizungumza na Wana CCM wa Tawi la Kitundu.

 VIONGOZI mbali mbali wa CCM wakiwa katika Ukumbi wa Wakorea Dole ambapo Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally amezungumza na Kamati za Siasa na Mikakati za ngazi za Matawi,Wadi,Jimbo na Wilaya ya Mfenesini.

 MAELFU ya Wana CCM waliojitokeza katika Mkutano huo wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally.

 KATIBU wa CCM Wilaya ya Mfenesini ndugu Jumanne Kimtende, akizungumza na kuwatambulisha Viongozi mbali mbali kwa Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally,alipokutana na kamati hizo.
 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mfenesini ndugu Kesi Mashaka Ngusa akizungumza katika Kikao hicho. KATIBU Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally,akizihutubia Kamati hizo huko katika ukumbi wa Wakorea  uliopo Dole Unguja.

 KATIBU Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally,akikabidhiwa zawadi mbali mbali na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mfenesini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni