Jumanne, 22 Machi 2016

TANGAZO


CHAMA Cha Mapinduzi Zanzibar kinawaomba Wana CCM wote Unguja na Pemba, Wenye Uwezo, Sifa  na Nia ya kutaka kugombea nafasi ya Uspika wa Baraza la Wawakilishi kupitia Chama hicho, wanaombwa kufika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kuchukua FOMU za kuwania nafasi hiyo (Uspika) ndani ya Chombo cha Kutunga Sheria.

Fomu hizo zinatolewa kuanzia tarehe ya Tangazo hili na mwisho wa kurejesha Fomu ni tarehe 23 Machi, mwaka huu, saa kumi kamili jioni. Wana CCM wote mnakaribishwa.

‘KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI’
‘MAPINDUZI DAIMA’


(Ali  A. Ndota),
Kny. Naibu Katibu Mkuu - CCM,
ZANZIBAR.

22 MACHI, 2016.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni