Maelfu ya Wananchi wa Pemba wajitokeza kumpokea Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya watu wa Tanzania Mhe. Dkt. John P. Magufuli hapo katika kiwanja cha Gombani ya Kale mnamo 15/10/2015.
Mapokezi hayo yalikuwa ya kustaajabisha huko kisiwani Pemba kwani maelfu ya wanachama wa CCM walijitokeza ili kwenda kumpokea Mgombea wetu.
Vile vile Mhe. Magufuli alisindikizwa na mwenyeji wake ambae ni Mgombea wa Urais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed SHEIN.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni