Jumatatu, 21 Septemba 2015
Jumapili, 13 Septemba 2015
Matokeo mbali mbali katika picha ya UZINDUZI wa Kampeni za CCM- Zanzibar
![]() |
| Hawa ni baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa kiwa wanatafuta sehemu ya kukaa |
![]() |
| Baadhi ya wanachama kutoka kabila la kimasai wakiwa wamefika katika mkutano wa Uzinduzi |
![]() |
| Wanachama wa CCM wanaonekana wakiwa na furaha hapo katika Uwanja wa Kibandamaiti |
![]() |
| Nderemo, Viogelele na Shangwe!!!wanja wa Kibandamaiti |
![]() |
| Nderemo, Viogelele na Shangwe!!!wanja wa Kibandamaiti |
![]() |
| Nderemo, Viogelele na Shangwe!!!wanja wa Kibandamaiti akiwemo Mgombe wa tiketi ya Ubunge kupitia CCM, Ndg KING wa Jimbo la Jang'ombe |
![]() |
| Nderemo, Viogelele na Shangwe!!!wanja wa Kibandamaiti |
![]() |
| Diamond akiwa anatumbuiza hapo kibandamaiti katika ufunguzi wa kampeni za CCM Zanzibar |
![]() |
| Diamond akiwa anatumbuiza hapo kibandamaiti katika ufunguzi wa kampeni za CCM Zanzibar |
![]() |
| Dr. Gharib Bilal akizungumza na wanchama wa CCM |
![]() |
| Hawa ni baadhi tu ya waliohudhuria katika Uzinduzi |
![]() |
| Rais Mstafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume akizungumza na wananchi katika mkutano wa Uzinduzi wa Kamapeni za CCM hapo kibanda maiti |
![]() |
| Diamond akinogesha Uzinduzi wa Kampeni |
![]() |
| Add caption |
![]() |
| Diamond!!! akizidi kuonesha umahiri wake kwa wanachama wa CCM |
![]() |
| Diamond!!! akizidi kuonesha umahiri wake kwa wanachama wa CCM |
![]() |
| Diamond!!! akizidi kuonesha umahiri wake kwa wanachama wa CCM |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Vuai Ali Vuai akizungumza na hadhara ya wanaCCM hapo Kibandamasti |
![]() |
| Mhe. Balozi Seif Ali Idd akitilia mkazo kwa wanachama wa CCM kuwa wakichague chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mnamo 25 /10/2015 |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Mhe. Abdulrahman KINANA akizungumza na wanaCCM |
![]() |
| Mhe. Ali Hassan Mwinyi nae pia alikuwepo katika Uzinduzi kama inavyoonekana akiwasalimia wazanzibari |
![]() |
| Rais msatafu wa Jamhuri ya watu wa TANZANIA Mhe. Benjamin W. Mkapa akzingumza na Wazanzibar |
![]() |
| Baadhi ya wanachama waCCM wakionekana kuwa na Fuiraha |
![]() |
| Mheshimiwa Rais wa Jamhuri wa Watu wa TANZANIA, Jakaya M. Kikwete akizungumza ana wanachama wa Chama cha Mapinduzi |
![]() |
| Dr.Ali Mohamed Shein akipokea ILANI ya CCM kutoka kwa nmwenyekiti wa CCM ili aweze kuinadi ilani hiyo kupitia mikutano mbalimbali |
![]() |
| Dr. SHEIN akiionesha ILANI kwa wanachama aliofika hapo katika Mklutano wa Uzinduzi wa kampeni za CCM |
![]() |
| Dr. SHEIN akizungumza na wanachama wa CCM hapo kibanda maiti |
![]() |
| Mhe. Jakaya M. Kikwete na Dr, Ali Mohamed Shein wakionekana wakiwa na furaha |
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)






























































